Alama ya Kistari Kirefu (-)

  1. Alama ya kistari kirefu hutoa maelezo zaidi

Nilipokutana na Maria – ambaye aliripotiwa kupotea miaka miwili iliyopita -’ nilimsalimia lakini hakunitambua.

Hatimaye nimeshinda – baada ya kujaribu kwa masaa matatu.

2. Pia kistari kirefu hutumika Kuorodhesha hoja au vitu

Umuhumu wa fasihi simulizi:

-Fasihi simulizi kuburudisha

-Fasihi simulizi kuelimisha

-Fasihi simulizi kuunganisha jamii

ALAMA ZA UAKIFISHA
Alama za usemi(“”)
Dukuduku (…)
Koma/mkato/kipumuo( , )
Ritifaa/kibainishi( ’ )
Mshazari/mkwaju(/)
Kistari kifupi( – )
Mstari( ___  )
Kikomo/kitone/nukta (.)
Nusu/semi koloni/nukta na kituo (;)
Vifungo/mabano/paradesi( )
Herufi kubwa(H)
Herufi ndogo (h)
Koloni/ Nukta mbili ( : )
Hisi/mshangao (!)
Herufi nzito (h)
Herufi za mlazo/italiki(h)
Kinyota(*)
Swali/Kiulizo

Leave a Reply

scroll to top