Alama ya Mabano au Parandesi ()

Alama ya mabano au parandesi hutumika kwa njia zifuatazo:

1. Parandesi hutumika Kutoa maelezo zaidi:

Nyanshinski (aliyeimba Malaika) ametoa wimbo mpya.

Mjomba wangu (ambaye ni naibu wa waziri Mkuu) amenitumia zawadi.

2. Parandesi pia hutumika Kutoa neno jingine lenye maana sawa

Dhamira (nia) ya mshairi huyu ni kutushauri tusikimbilie maisha.

Mabanati (wasichana) hao hutembea uchi jijini usiku wa manane.

ALAMA ZA UAKIFISHA
Alama za usemi(“”)
Dukuduku (…)
Koma/mkato/kipumuo( , )
Ritifaa/kibainishi( ’ )
Mshazari/mkwaju(/)
Kistari kifupi( – )
Kistari kirefu
Mstari( ___  )
Kikomo/kitone/nukta (.)
Nusu/semi koloni/nukta na kituo (;)
Herufi kubwa(H)
Herufi ndogo (h)
Koloni/ Nukta mbili ( : )
Hisi/mshangao (!)
Herufi nzito (h)
Herufi za mlazo/italiki(h)
Kinyota(*)
Swali/Kiulizo

Leave a Reply

scroll to top