1. Alama ya mstari hutumika kusisitiza
  • Jibu maswali mawili pekee.
  1. Hutumika kuonyesha aina za maneno
  • Mtoto wangu analala (V. kimilikishi).
  1. kuonyesha vitabu, majarida na magazeti
  • Chemchemi za Kiswahili, “True Love”, n.k.
  1. kuandika anwani/kichwa

Mwanafunzi Adhibiwa/Kaadhibiwa Vikali