1. Maana na Dhima ya fasihi
  2. – Utangulizi
  3. Maana ya sanaa
  4. Dhima ya fasihi katika jamii
  5. Makundi ya fasihi
  6. Tofauti kati ya fasihi simulizi na fashi andishi
  7. Athari za fasihi simulizi katkia fasihi andishi

B. Fasihi Simulizi

  1. utangulizi
  2. Vipengele muhimu katika uwasilishaji wa fasihi fasihi simulizi
  3. Sifa za fasihi simulizi
  4. Dhima ya fasihi simulizi
  5. mambo amabyo huchangia kubadilika kwa fasihi simulizi
  6. Wahusika katika fasihi simulizi
  7. Tanzu za fasihi simulizi

C. Utanzu wa Hadithi

  1. Utangulizi
  2. Sifa za hadithi
  3. Dhima ya hadithi
  4. Usimulizi wa hadithi
  5. Vipera vya Hadithi
    • Ngano
    • Ngano za mazimwi
    • Hurafa
    • Hekaya
    • Ngano za mtanziko
    • Ngano za Usuli
    • Ngano za Mashujaa
    • Ngano za kimafumbo
    • Mighani
    • Visakale
    • Visasili
    • Vigano
    • Tarihi
    • Kumbukumbu
    • Soga/visoga
  6. Mbinu za Uchambuzi wa hadithi
  7. Fani katika Hadithi

D. Utanzu wa Usemi

  1. Utangulizi
  2. Sifa za usemi
  3. Umuhimu wa semi
  4. Vipera vya semi
    • Methali
    • vitendawili
    • misimu
    • lakabu
    • vitanza ndimi
    • mafumbo na chemshabongo
    • nahau
    • misemo

E. utanzu wa Ushairi Simulizi

  1. Utangulizi
  2. Sifa za Ushairi simulizi
  3. Uamishaji wa ushairi simulizi
  4. Umuhimu wa Ushairi Simulizi
  5. Vipera vya ushairi Simulizi
    • Nyimbo
    • bembea/bembelezi/pembejezi
    • Nyiso
    • Nyimbo za kisiasa
    • Nyimbo za sifa (Sifo)
    • Nyimbo za Kazi ( hodiya)
    • Nyimbo za mapenzi
    • Nyimbo za watoto (chekechea)
    • Jadiiya
    • Muhtasari wa aina za nyimbo
    • Maghani
    • Sifo
    • Majigambo au Vivungo
    • Tondozi
    • Pembezi/ Pembejezi
    • Tendi
    • Rara
    • Rara nafsi
    • Ngonjera
    • Mashairi mepesi

F. Utanzu wa Maigizo

  1. Utangulizi
  2. Sifa za maigizo
  3. Umuhimu wa maigizo
  4. Sifa za muigizaji bora
  5. Vipera vya maigizo
    • Michezo ya jukwaani
    • vichekesho
    • Majigambo
    • michezo ya watoto/chekechea
    • Njonjera
    • ngoma
    • miviga
    • matambiko
    • ngomezi

G. Utanzu wa Mazungumzo.

  1. Utangulizi
  2. Malumbano ya utani
  3. ulumbi
  4. Hotuba
  5. Mawaidha
  6. Soga
  7. Maapizo

H. Ukusanyaji na uhifadhi wa Fasihi simulizi

  1. Utangulizi
  2. Ukusanyaji wa kazi za fasihi simulizi
    • Kusikiliza
    • kushiriki
    • kurekodi
    • Kutazama
    • Kutumia Hojaji
    • Mahojiano
  3. Vifaa vya kukusanya na kuhifadhi fasihi simulizi
    • Kalamu na karatasi (maandishi)
    • Vinasasauti/ Tepurekoda
    • Kamera
    • Video
    • Sinema au Filamu
  4. Umuhimu wa kukusanya na kuhifadhi fasihi simulizi
  5. matatizo yanayomkumba mkusanyaji wa fasihi simulizi
  6. Changamoto zinazoukabili ukusanyaji na uhifadhi wa fasihi simulizi
  7. Jinsi jamii ya kisasa inavyojaribu kuendeleza Fasihi simulizi.