Herufi nzito ni alama ya uakifishaji ambayo hutumiwa katika kusisitiza. Alama herufi hii hutumiwa katika sentensi au neno kuweza kusisitiza neno hilo au ujumbe katika sentensi. Kwa mfano:

  • Misa ilianza saa 4.30 za asubuhi.
  • Wavulana wote wanapenda mpira wa kandanda
  • Sikio la kufa halisikii dawa
ALAMA ZA UAKIFISHA
Alama za usemi(“”)
Dukuduku (…)
Koma/mkato/kipumuo( , )
Ritifaa/kibainishi( ’ )
Mshazari/mkwaju(/)
Kistari kifupi( – )
Kistari kirefu
Mstari( ___  )
Kikomo/kitone/nukta (.)
Nusu/semi koloni/nukta na kituo (;)
Vifungo/mabano/paradesi( )
Herufi kubwa(H)
Herufi ndogo (h)
Koloni/ Nukta mbili ( : )
Hisi/mshangao (!)
Herufi za mlazo/italiki(h)
Kinyota(*)
Swali/Kiulizo