1. Awe mwaminifu kwa matini na kwa mwenye matini; yaani asipotoshe habari au kusema uongo. ·
2. Awe mchapakazi (Kujituma/Bidii katika kazi) ·
3. Awe nadhifu – Unadhifu-mwonekano wa moyo, asiwe tapeli/laghai ·
4. Aelewe/kuelewa taratibu za kazi na kuzifuata. Mfano; bei ya kutafsiri kwa ukurasa au kwa maneno. ·
5. Ushirikiano/kushirikiana na watu mbalimbali wa fani mbalimbali, makundi
hati miliki zimehifadhiwa