MAKUNDI ASILIA YA FONIMU ZA KISWAHILI
1. VIPASUO/ VIZUIO
Hutamkwa kwa kuzuia kabisa mkondohewa utokao mapafuni kasha kuachiwa ghafula.
/p/ /d/ /b/ /t/ /k/
-kont -kont -kont -kont -kont
-gh +gh +gh -gh -gh
+anteria +ant +ant +ant +ant
-kor +kor -kor +kor +juu
+nyuma
2. VIKWAMIZO/ VUKWAMIZWA/ VIKWAMIZWA
/f/ /v/ /th/ /dh /s/
+kont +kont +kont +kont +kont
-gh +gh -gh +gh -gh
+meno +meno +meno +meno +kor
-kor -kor +kor +kor -meno
/sh/ /γ/ /h/
+kont +kont +kont
+kor +gh +glot
-gh +unyuma -gh
-juu +ujuu
-nyuma
3. VING’ONG’O
/m/ /n/ /η/ /ny/
+nazal +nazal +nazal +nazal
+ant +kor -sil -sil
+sil -sil +unyuma +juu
-kor -kor -nyuma
+ghuna -ant +kor
+midomo +juu -ant
4. VILAINISHO- Sonoranti
/l/ /r/
+son +son
+kor +kor
+tambaz +mad
+ghun +ghuna
-unazal -nazal
5. IRABU [+sil]
/i/ /u/ /e/ /o/ /a/
+sil +sil +sil +sil +sil
+juu +juu -nyuma +nyuma +chini
-nyuma +nyuma -chini -juu -juu
-juu -chini
6. VIYEYUSHO [-sil]
/w/ /j/
-sil -sil
+juu +juu
+nyuma -nyuma
UMUHIMU WA SIFA BAINIFU
1. Husaidia kugawa fonimu katika makundi asili.
2. Husaidia kutofautisha kati ya kundi moja la fonimu asilia na jingine.
3. Husaidia kuonesha maathiriano yanayotokea katika lugha.
4. Hurahisisha katika uandishi wa kanuni kwani zinaandikwa kwa ufasaha na bayana.
5. Huonesha mwenendo au tabia ya lugha Fulani kwa sababu tunaelewa baadhi ya fonimu hubadilika kutokana na muktadha wa fonimu au kimatumizi mfano, nazali ina sifa ya usilabi na isiyo na usilabi.
6. Husaidia kuonesha muundo wa ndani wa sauti fulani.