Neno

Neno ni mkusanyiko wa wa silabi  au mofimu ambazo hutamkwa  au kuandikwa ili zilete maana  inayofahamika.

Dhana hii ya neno pia inaweza kufasiriwa kuwa, neno ni sehemu fupi ya lugha yenye maana. Ni sauti inayotamkwa au kuandikwa pamoja na kutaja jambo fulani.

Neno linaweza kuwa fupi lenye mofimu (yaani sauti inayowakilisha maana fulani) moja tu au kuwa ndefu lenye mofimu mbalimbali. Kwa kawaida ni muunganiko wa silabi kadhaa, zikiwemo konsonanti na vokali.

mtoto mdogo anacheza uwanjani

Leave a Reply

scroll to top