Ngeli hii hujumuisha majina ya vitu visivyo hesabika kama kitu kimoja kimoja ila kutokana na kipimo fulani maalum. Nomino hizi huchukua kiambishi I katika umoja na wingi.Huwa na nomino dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika.  Nomino za ngeli hii hazibadiliki katika umoja na wingi. Mifano ya nomino katika ngeli hii ni;

  • sukari 
  • amani
  • chai    
  • mvua
  • Imani
  • chumvi
  • subira
  • imani
  • amani
  • furaha
UmojaWingi
Chumvi imemwagikaChumvi imemwagika
Mvua imenyenshaMvua imenyensha
Chai imemwagikaChai imemwagika
Tumbaku imesagwaTumbaku imesagwa
Ngeli za Nomino
Ngeli ya A-WA
Ngeli ya U-I
Ngeli ya U-ZI
Ngeli ya YA-YA
Ngeli ya U-U
Ngeli ya LI-YA
Ngeli ya U-YA
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya KU-KU
Ngeli ya I-ZI
Ngeli ya PA-KU-MU