Nomino katika ngeli hii hutokana na vitenzi na vitenzi. Kiambishi KU hupachikwa mbele ya mzizi wa kitenzi ili kuunda nomino. Nomino zinazoundwa kwa njia hii huwa hazibadiliki katika umoja na wingi. baadhi ya nomino katika ngeli hii ni;

Kuimba – Kuimba

Kucheka – Kucheka

Kula – Kula

Kufagia – Kufagia

Kucheka – Kucheka

Kuandika – Kuandika

Kulia – Kulia

UmojaWingi
Kula kwako kumenishtuaKula kwenu kumewashtua
Kufagia nyumba kumemfurahishaKufagia nyumba kumewafurahisha
Kucheka kwake kumwaudhiKucheka kwao kumewaudhi
Kulia kunamhuzunishaKulia kunawahuzunisha
Ngeli za Nomino
Ngeli ya A-WA
Ngeli ya U-I
Ngeli ya U-ZI
Ngeli ya YA-YA
Ngeli ya I-I
Ngeli ya U-U
Ngeli ya LI-YA
Ngeli ya U-YA
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya I-ZI
Ngeli ya PA-KU-MU