Nomino za ngeli hii huchukua kiambishi U katika umoja na wingi.Ngeli hii hujumuisha nomino dhahania na zile ambazo huchukua upatanisho wa kisarufi wa U– katika kiambishi awali.Nomino dhahania ni nomino zinazotaja vitu vya kufikiria tu bali havionekani.baadhi ya nomino katika ngeli hii ni;

  • Ujinga
  • Ulafi
  • Ulaji 
  • Werevu
  • Unga
  • Uji
  • Ugali
UmojaWingi
Uchoyo unaudhiUchoyo unaudhi
Ukweli unapendezaUkweli unapendeza
Urafiki wao unapendezaUrafiki wao unapendeza
Ugali umpikwaUgali umpikwa
Miundo ya nomino za Ngeli ya U -U
Nomino za ngeli hii hazibadiliki katika umoja na wingi. Hii ina maana kuwa viambishi vinavyotumiwa katika umoja vivyo hivyo ndivyo hutumiwa katika wingi.
Ngeli za Nomino
Ngeli ya A-WA
Ngeli ya U-I
Ngeli ya U-ZI
Ngeli ya YA-YA
Ngeli ya I-I
Ngeli ya LI-YA
Ngeli ya U-YA
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya KU-KU
Ngeli ya I-ZI
Ngeli ya PA-KU-MU