Ritifaa/ kibainishi hutumika kwa njia zifuatazo:

  1. Kuonyesha kuwa kna herufi imeachwa
  • wal’otutuma
  1. Hutumika katika sarufi kuashiria shadda/mkazo
  • `iba, ka`lamu
  1. Ritifaa/ kibainishi hutumika vilevile katika sauti ya king’ong’o
  • Ng`ombe amekufa.
  1. Mwisho kabisa, ritifaa hutumika Kufupisha maneno kwa kuacha nje baadhi ya sauti au silabi hususan kwenye maishiri ili kuridhia idadi ya mizani katika mishororo na urari wa vina.