Shamirisho ni nomino ambayo huashiria kitendwa/mtendwa au kitendewa/mtendewa katika sentensi.Nomino hii huweza kuambatana na kivumishi.Kwa Hivyo Shamirisho ni jina la kitu au mtu ambalo huathiriwa na kitenzi katika sentensi na huja baada ya kitenzi kikuu.
Aina za Shamirisho/ yambwa
Kuna aina tatu za yambwa/ Shamirisho ambazo ni: