- Huwa hayazingatii idadi sawa ya mishororo katika beti.
- Aghalabu huwa hayana urari wa vina.
- Hayana idadi maalum ya vipande katika mishororo.
- Huwa hayana idadi sawa ya mizani katika mishororo.
- Nyingi yazo huwa na kipande kimoja tu.
- Hutumia mistari mishata.
- Hayana kibwagizo bali huwa na kituo.
- Hutumia takriri kwa wingi.
|
||
1. |
||
2. |
||
3. |
||
4. |
||
5. |
||
6. |
||
7. |
||
8. |
||
9. |
hati miliki zimehifadhiwa
It’s just nice
Keep it up