Sifa za Mashairi ya kimapokeo

  1.  Uteuzi wa sauti,silabi au maneno katika shairi ni wa kipekee usiozingatia sarufi.
  2. Mpangilio wa maneno katika mshororo huwekwa kwa utaalam zaidi kulikokatika riwaya.
  3. Uteuzi wa maneno katika shairi zima kwa kawaida huwa  na maana maalum  na si suala la kuteuwa kiholela holela.
  4.  Huwa na matumizi ya jazanda  na taswira.
  5. Huwa na matumizi yatamathali za usemi huwa na maana ambazo hujenga  maudhui na kuleta mvuto katika shaiti na kufanya kazi za kishairi iwe ya sanaa zaidi
  6. Huwa na matumizi ya lahaja mbalimbali
  7. Huweza pia kuwa na matumizi ya lugha za kigeni
  8. Huweza pia kufungamanishwa na vipengele vya fasihi simulizi kama vile nahau,methal, lakabu n.k.

         USHAIRI

1.        

Historia ya Ushairi

2.        

Changamoto za ufundishaji na usomaji wa uhairi

3.        

Istilahi zinazotumika katika ushairi

4.        

Sifa za mashairi ya kimapokeo

5.        

Sifa za mashairi huru

6.        

Kategoria kuu za mashairi

7.        

Bahari za mashairi

8.        

Uchambuzi wa mashairi

9.        

Uhuru wakishairi

hati miliki zimehifadhiwa

Leave a Reply

scroll to top