SIFA ZA MKALIMANI BORA

  •  Awe mtu anayezielewa lugha chanzi na lugha lengwa vizuri

  • Awe ni mtu ambaye ameishi pande zote za lugha anazozikalimani ili kuelewa mila na desturi za watumiaji wa lugha hizo.

  •  Awe stadi wa ukalimani, hapa inatakiwa awe na uhodari wa kukalimani, kuzungumza vizuri, maneno kusikika, awe na uwezo wa kukalimani neno kwa neno au sentensi na sentensi, kutumia ishara zinazoambatana na ishara za mzungumzaji wa lugha chanzi na hata kutumia mtindo anaodhani unaweza kuwavutia wasikilizaji wake.

  •  Muadirifu, ambaye hawezi kupotosha au kubadili ukweli wa kinachozungumzwa, nah ii ni muhimu kwa sababu wakalimani hutumika hadi mahakami hivyo kama si mwadirifu huweza kuufanya upande mmoja ukakosa haki inayostahiri.

  • Asiwe mbaguzi, hapa ina maana mkalimani asiamue kupotosha ukweli wa kile kinachozungumzwa kwa kuwa tu kinaendana kinyume na itikadi yake ya kisiasa, kidini, kiutamaduni, n.k. wala asiangalie jinsia ya mtu umri au hali ya mtu anayemfanyia ukalimani.

MAREJEO

Cartford [1995] A linguistic Theory Translation

Mwansoko, H.J.M na wenzake [2006] Kitangulizi cha Tafsiri, Nadharia na

Mbinu.TUKI.Dar-es-salaam

Newmark, P [1982] Approaches to Translation, Oxford, Pergamon Press

Newmark, P [1988] A Text book of Translation, London, Prentice Hall.

Oxford University Press Dar-es-salaam

Semzaba, E [2006] Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe. The General Booksellers LTD.

D.S.M

TUKI [2002] Kamusi ya Kiswahili Sanifu. TUKI, Dar-es-salaam

TUKI [1985] Kiswahili, Jarida la Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

www.bakita.org.tz retrieved on Monday 04th July 2018

www.jim-mission.org.uk retrieved on Monday, 04th July 2018

www.ajol.inf retrieved on Monday, 04th July 2018

Vitabu vilivyotafsiriwa ambavyo vimetumika kama marejeo

Ayi Kwei Armah, Wema Hawajazaliwa, kimetafsiriwa na Abdilatif Abdalla

Ferdinand Oyono: House boy, Kimetafsiriwa na Raphael Khasao na Nathan Mwele.

William Shakespeare: Juliasi Kaizari: Kimetafsiria na Julius K. Nyerere

Mabepari wa Venisi: Kimetafsiriwa na Julius K. Nyerere

Hekaya za Abunuwasi: Kimetafsiriwa na Interterritorial Language Committee, East Africa

Alfu Lela Ulela: Kimetafsiriwa na Sir Richard Burton

Sir Rider Haggard: Mashimo ya Mfalme Suleiman


hati miliki zimehifadhiwa

Leave a Reply

scroll to top