Alama ya swali /kiulizo

Swali au Kiulizo hutimiwa kwa njia zifuatazo:

  1. Kuuliza swali. Alama hii ya kiulizo(?) hutumiwamwishoni mwa sentensi ambazo huuliza maswali. Mifaono katika sentensi ni kama ifuatavyo: Sasa unatakaje? Una hela ngapi? Mtasafiri ulaya lini? Kwanini hukuja shuleni jana?
  2. Kuonyesha kutilia shaka au kutokuwepo na uhakika kwa jambo linalosemwa. Mifano katika sentensi: Labda neno maiti li katika ngeli ya I-ZI.(?) Mwanawe nzige huitwa funutu. (?)
ALAMA ZA UAKIFISHA
Alama za usemi(“”)
Dukuduku (…)
Koma/mkato/kipumuo( , )
Ritifaa/kibainishi( ’ )
Mshazari/mkwaju(/)
Kistari kifupi( – )
Kistari kirefu
Mstari( ___  )
Kikomo/kitone/nukta (.)
Nusu/semi koloni/nukta na kituo (;)
Vifungo/mabano/paradesi( )
Herufi kubwa(H)
Herufi ndogo (h)
Koloni/ Nukta mbili ( : )
Hisi/mshangao (!)
Herufi nzito (h)
Herufi za mlazo/italiki(h)
Kinyota(*)

Leave a Reply

scroll to top