UMUHIMU WA TAFSIRI

 1. Ni njia ya mawasiliano/daraja kati ya watu au jamii mbili zinazotumia lugha tofauti. Mfano; maelezo mbalimbali ya jinsi ya kutumia bidhaa mbalimbali kama vile redio, simu, kurunzi, dawa, jokofu nk.

2. Ni nyenzo ya kuelezea utamaduni kutoka jamii moja kwenda jamii nyingine. Mfano; kupitia dini – tafsiri ya Biblia au Kuruani “Koran”, Pia hata katika burudani – tafsiri ya vitabu mbalimbali ambavyo vina vipengele vingi sana vya utamaduni kama vile nyimbo nk. ·

3.      Ni mbinu ya kujifunzia au kufundishia lugha kimsamiati na kisarufi. ·

4.      Ni kazi ya ajira kama kazi nyingine, hivyo huweza kumpatia mtu kipato. ·

5.      Humliwaza mfasiri; hii ni baada ya kumaliza kufasiri.


hati miliki zimehifadhiwa

Leave a Reply

scroll to top