Viambishi

Viambishi ni viungo vyenye maana vinavyofungamanishwa na mzizi wa neno ili kulipa maana mbalimbali.Mofimu hizo hupachikwa nyuma au mbele ya mzizi wa neno ili kubadilisha dhana ya neno. Kwa kuwa mofimu hizo hupachikwa sehemu tatu tofauti, tunapata aina mbili za viambishi kwa mujibu wa nafasi zake katika neno, yaani; viambishi awali ambavyo hupachikwa mwanzoni au nyuma ya mzizi wa neno,  na viambishi tamati ambavyo hivi hupachikwa mbele au mwishoni mwa mzizi wa neno.

VIAMBISHI AWALIMZIZI WA NENOVIAMBISHI TAMATINENO JIPYA
A                   napikiw                aanapikiwa
Wa             lisomesh                   awalisomesha
U                mekataUmekata

      Kuna aina mbili ya viambishi ;

a) viambishi awali – ni viambishi ambavyo huja kabla ya mzizi wa neno

b) Viambishi tamati – ni viambishi ambavyo huja baada ya mzizi wa neno

Mzizi wa kitenzi

Mzizi wa kitenzi ni sehemu ya kitenzi isiyobadilika na ndiyo hubeba maana kuu ya kitenzi husika.

Nanma ya kujua mzizi wa kitenzi

Ili kupata mzizi wa kitenzi, andika kitenzi hussika katika kauli mbalimbali za mnyambuliko, sehemu ambayo haibadiliki katika kauli ulizoziandika ndio mzizi wa kitenzi hicho

Leave a Reply

scroll to top