Vipashio vya Lugha

Ni vipengele ambavyo hushirikiana ili kujenga lugha.kuna aina nne kuu ya vipashio ambavyo hujenga lugha, navyo ni:

1 Sauti

2 silabi

3 Neno

4 Sentensi

Katika ngazi ya   chini zaidi katika vipashio hivyo huwa ni sauti ,nazo sauti huungana kujenga silabi ,silabi huunda neno na maneno huungana  kujenga kipashio kikubwa zaidi ambacho ni  sentensi.Vipashio hivi ndivyo nguzo ya lugha na vinapoungana ndipo lugha hujengeka.

Leave a Reply

scroll to top